YALIYOJIRI Mkutano Mkuu wa Simba 2024
Wanachama wa Klabu ya Simba SC Leo Jumapili tarehe 06 October wamekutana katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ajili ya kushiriki Mkutano Mkuu wa mwaka kwa mujibu wa Katiba ili kujadiliana masuala mbalimbali ya maendeleo.
Unaweza Kufuatilia kwenye link ya Video hapa chini kila kitu kilichoendelea kwenye Mkutano huo.
BONYEZA HAPA KUTAZAMA MKUTANO MKUU WA SIMBA 2024.