VIINGILIO Tanzania vs DR Congo 15 October 2024

VIINGILIO Tanzania vs DR Congo 15 October 2024
VIINGILIO Tanzania vs DR Congo 15 October 2024

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia Afisa Habari wake, Clifford Mario Ndimbo, limetangaza viingilio vya mechi ya marudiano ya Kufuzu AFCON2025 kati ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya DR Congo.

Ndimbo amesema kuwa katika majukwaa ya mzunguko kiingilio ni shilingi 2,000 na katika jukwa la VIP ‘B’ na ‘C’ itakuwa Tsh ni 5,000 tu.

Akizungumza katika hamasa ya kuelekea mchezo huo, Ndimbo amesema kuwa kwa sasa akili inapaswa kuelekezwa kwenye mchezo huo utakaopigwa Jumanne ya October 15, 2024 na kusahau matokeo ya ya mchezo wa Kwanza ambao Tanzania imefungwa bao 1-0.

Mechi hiyo itapigwa saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar Es Salaam na Update zote za mchezo huo zitakujia kupitia Nijuze Habari.
VIINGILIO Tanzania vs DR Congo 15 October 2024
Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA