TCU Majina ya waliodahiliwa zaidi ya Chuo Kimoja awamu ya Pili na ambao hawajathibitisha udahili awamu ya Kwanza 2024/2025
Orodha ya waombaji waliodahiliwa zaidi ya Chuo kimoja au Program zaidi ya moja katika awamu ya pili ya udahili na wale ambao hawakuthibitisha awamu zilizopita kwa mwaka wa masomo 2024/2025.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA