RATIBA ya Simba CAF Confederation Cup 2024/2025, Ratiba ya Mechi za Simba CAF Confederation Cup 2024/2025, Ratiba ya Simba Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya Makundi 2024/2025.
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeendesha Droo ya hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika Msimu wa 2024/2025, ambapo Klabu ya Simba imepangwa Kundi A.
Simba imepangwa pamoja na CS Sfaxien ya Tunisia, CS Constantine ya Algeria pamoja na Bravos do Maquis ya Angola.
Aidha hatua hiyo ya Makundi inatarajiwa kuanza November 28, 2024 hadi January 19, 2025.
Ratiba Kamili ya Simba SC kwenye hatua ya Makundi CAF Confederation Cup 2024/2025.