RATIBA ya Droo ya Makundi ya CAF 2024/2025
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeendesha Droo ya hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa ya CAF na Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025.
Droo hiyo imechezeshwa nchini Misri Kuanzia Saa 7:00 mchana ikianza na Kombe la Shirikisho na baadae saa 8:00 ilichezeshwa droo ya Ligi ya Mabingwa.
Baada ya kukamilika kwa droo hiyo sasa unaweza kuitazama timu yako imepangwa Kundi gani na dhidi ya nani kutoka wapi hapa chini;
Droo ya Makundi CAF Champions League 2024/2025 tazama hapa.
Droo ya Makundi CAF Confederation Cup 2024/2025 tazama hapa.