NAFASI za Kuhama Programu Chuo cha Ustawi wa Jamii (ISW)

NAFASI za Kuhama Programu Chuo cha Ustawi wa Jamii (ISW)
NAFASI za Kuhama Programu Chuo cha Ustawi wa Jamii (ISW)

TANGAZO KWA WANAFUNZI WANAOHITAJI KUHAMA PROGRAMU KWA MWAKA WA MASOMO 2024-2025 KWA NGAZI YA CHETI CHA MSINGI (NTA LEVEL 4) NA NGAZI YA CHETI CHA UFUNDI (NTA LEVEL 5)

Wanafunzi wote wapya wanaotaka kuomba kuhama programu mnataarifiwa kuwa, muda wa kutuma maombi ni tarehe
7 October 2024 -10 October 2024.

Nafasi zipo kwa programu zifuatazo;

KAMPASI YA KISANGARA
  • Basic Technician Certificate in Social Work.
  • Technician Certificate In Early Childhood Care and 40 Development.
  • Technician Certificate in Social Work
KAMPASI YA DAR ES SALAAM
  • Basic Technician Certificate in Community Work with Children and Youth.
  • Basic Technician Certificate in Labour Relations and Public Management.
  • Basic Technian Certificate in Human Resource Management.
  • Basic Technician Certificate in Business Administration.
  • Technician Certificate in Social Work.
  • Technician Certificate in Labour Relations and Public Management.
  • Technician Certificate in Human Resource Management.
  • Technician Certificate in Business Administration.
  • Technician Certificate in Community Work with Youth and children.
Tangazo la Kuhama Kozi kwa Wanafunzi wapya mwaka wa masomo 2024/2025

MASHARTI YA KUOMBA

Mwanafunzi awe amechaguliwa kwenye programu anayotaka kuhama.

Mwanafunzi aandike barua ya maombi kwenda kwa : Mkuu wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii, Sanduku la Posta 3375,Dar es salaam.

Barua zote ziwasilishwe kwenye ofisi ya mkurugenzi wa huduma saidizi za taaluma (namba 101- jengo la utawala kampasi ya Dar es Salaam), au Ofisi ya Mkuu wa kampasi ya Kisangara ndani ya muda wa kazi (kuanzia saa 1:30 asubuhi mpaka saa 9:30 jioni). Au zitumwe kwa barua pepe ifuatayo: info@isw.ac.tz

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia namba za simu zifuatazo: +255 735 509 090/ +255 677 111 200 (Kampasi ya Dar es Salaam) au I +255 716 121 096 (Kampasi ya Kisangara)
Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA