NAFASI za Kazi Kutoka Corazon Sports Lounge

NAFASI za Kazi Kutoka Corazon Sports Lounge
NAFASI za Kazi Kutoka Corazon Sports Lounge

✅Meneja wa Bar (Bar Manager)

Majukumu ya Meneja wa Bar
  • Kushughulika na matatizo ya wateja kwa kufuata taratibu zilizowekwa.
  • Kusimamia usafi wa vifaa vyote vya bar na mazingira kwa ujumla.
  • Kufunga na kufungua hesabu ya mauzo kila siku.
  • Kuagiza vinywaji.
  • Kusimamia majukumu na wajibu kwa kila mfanyakazi ili kufikia malengo.
  • Kusimamia utayarishaji na uwasilishaji wa vinywaji ili kufikia viwango vilivyowekwa
  • Kushughulika na uboreshaji wa bidhaa na huduma.
  • Kuratibu na kudumisha mawasiliano ya mara kwa mara baina ya wafanyakazi na uongozi
  • Kupanga na kutekeleza mipango itakayoongeza mauzo na mapato.
✅Wahudumu(waiters/waitresses)

Majukumu ya wahudumu
  • Kuandaa meza na kuweka sahani, glass sawa.
  • Kusalimia wateja na kuwasindikiza katika meza wanazoenda kukaa.
  • Kuwapa wateja Menu ya chakula na vinywaji pamoja na maelezo yaliyopo kwenye menu.
  • Kupokea orders za wateja.
  • Kuhudumia wateja chakula na vinywaji.
  • Kusafisha meza na kupanga vitu upya pale pindi mteja anapoondoka.
  • Kuwasilisha bili kwa wateja na kushughulikia malipo ya pesa kwa cash ama kwa kadi
✅Mtu wa Kufanya Usafi (Cleaner)

Majukumu ya Cleaner 
  • Kusafisha na kupangilia
  • Kudumisha usafi wa vifaa na kuhakikisha vinafanya vizuri na vinaendelea kuwa safi.
  • Kuthibiti taka zote zilizopo, pamoja na ukusanyaji na utupaji wa taka kwa bjia inayofaa ili kuepuka uchafuzi wa mazingira na kuzuia magonjwa
  • Kuhakikisha viwango na sera zote za afya, usalama na usafi kwenye eneo vinazingatiwa.
  • Kuhakikisha kuwa vifaa vya usafi kama vile sabuni na karatasi za chooni vipo kwa wingi
✅Mhasibu (Accountant)

Majukumu ya Mhasibu
  • Kukusanya,kuchambua na kutoa taarifa za fedha mara kwa mara,kama vile taarifa za faida na hasra ,kufunga mahesabu.
  • Kufuata sheria na kanuni zote za kuendesha biashara,ikiwa ni pamoja na kuhakikisha lesseni na vibali vyote vinalipiwa kwa wakati kulingana na miongozo ya serikali.
  • Kusimamia matumizi ya ofisi, kuhakikisha vifaa vya ofisi vinanuliwa, kuhakikisha malipo na ada mbalimbali zinalipwa kwa wakati.
  • Kuwasilisha takwimu kwa Mkurugenzi na kutunza kumbukumbu saihi za kifedha.
  • Kusimamia miamala na mahesabu na kutoa taarifa ya kila siku.
NAFASI za Kazi Kutoka Corazon Sports Lounge

Jinsi ya kufanya Maombi
Maombi yote yatumwe kupitia mawasiliano yafuatayo WhatsApps number: +255 745 511 511 au email hii: corazonagroup@yahoo.com
Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA