NAFASI 5 za Maafisa Mikopo Chogo Credit Company Limited

NAFASI 5 za Maafisa Mikopo Chogo Credit Company Limited
NAFASI 5 za Maafisa Mikopo Kutoka Taasisi ya Chogo Credit Company Limited.

Location: Dar Es Salaam
Nafasi 5 za Maafisa Mikopo

Chogo Credit Company Limited, ni Taasisi ndogo ya Kifedha inayomilikiwa na watu binafsi inayofanya kazi Tanzania nzima yenye ofisi yake kuu jijini Dar es Salaam, ambayo shughuli zake zilianza kwa ufanisi mwaka 2014 zilizosajiliwa na kuingizwa nchini Tanzania kama kampuni ya huduma za kifedha, inayotoa mikopo.

Key Responsibilities
  • Review Loan Requests.
  • Assess client’s financial status.
  • Evaluate credit worthiness and risks.
  • Contact clients for KYC and documentations.
  • Analyze risks and approve or reject loan requests.
  • Calculate financial ratios (Credit scores and Interest rates).
  • Setup payment plans and schedules.
  • Maintain updated records of loan application.
  • Follow up non-performing loans.
  • Follow up with clients about loan renewals.

Required Skills.

  • Credit analysis and credit risk assessment.
  • computer skills i.e Ms Word, Ms Excel, spreadsheet etc.
  • Customer service.
  • Portfolio management.

NAFASI 5 za Maafisa Mikopo Kutoka Taasisi ya Chogo Credit Company Limited.

Qualifications.

Bachelor degree in Commerce, Accounting, Banking, Business Administrations, Economics, Procurement and Business related fields.

Other Requirements:

Aplicants must be a below 30 years old, and be able to work in Districts and rural areas.

Send your CV and Certificates to: chogocredit@gmail.com

Applications due by 11th October 2024.

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA