KOZI na Ada zinazotelewa na Chuo Cha Serikali za Mitaa (LGTI)

KOZI na Ada zinazotelewa na Chuo Cha Serikali za Mitaa (LGTI)
KOZI na Ada zinazotelewa na Chuo Cha Serikali za Mitaa (LGTI)

Kozi Zinazotolewa na Chuo Kikuu Cha Serikali za Mitaa Hombolo (LGTI), Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo kinatoa kozi mbalimbali ambazo zimegawanywa katika ngazi tofauti za Elimu kama zilivyo

Ngazi ya Cheti (NTA Level 4)
  • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
  • Maendeleo ya Jamii
  • Usimamizi wa Rasilimali Watu
  • Uhasibu na Fedha za Serikali za Mitaa
  • Usimamizi wa Kumbukumbu na Taarifa
  • Ununuzi na Ugavi
Ngazi ya Diploma (NTA Level 5)
  • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
  • Maendeleo ya Jamii
  • Usimamizi wa Rasilimali Watu
  • Uhasibu na Fedha za Serikali za Mitaa
  • Usimamizi wa Kumbukumbu na Taarifa
  • Ununuzi na Ugavi
Ngazi ya Diploma ya Juu (NTA Level 6)
  • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
  • Maendeleo ya Jamii
  • Usimamizi wa Rasilimali Watu
  • Uhasibu na Fedha za Serikali za Mitaa
  • Usimamizi wa Kumbukumbu na Taarifa
  • Ununuzi na Ugavi
Ada za masomo katika Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo zinatofautiana kulingana na kozi na ngazi ya masomo kama ilivyoainishwa hapa chini;
  1. Usimamizi wa Serikali za Mitaa - NTA 4-6 Ada 1,200,000 kwa mwaka.
  2. Maendeleo ya Jamii - NTA 4-6 Ada 1,200,000 kwa mwaka.
  3. Usimamizi wa Rasilimali Watu - NTA 4-6 Ada 1,200,000 kwa mwaka
  4. Uhasibu na Fedha za Serikali za Mitaa - NTA 4-6 Ada  1,200,000 kwa mwaka.
  5. Usimamizi wa Kumbukumbu na Taarifa - NTA 4-6 Ada 1,200,000 kwa mwaka.
  6. Ununuzi na Ugavi - NTA 4-6 Ada 1,200,000 kwa mwaka.
Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA