JINSI ya Kujisajili na Betika

JINSI ya Kujisajili na Betika
JINSI ya Kujisajili na Betika

Katika dunia ya michezo ya kubashiri, Betika imekuwa mojawapo ya jukwaa maarufu linalowezesha watu kubashiri matokeo ya michezo mbalimbali.

Ikiwa unataka kujiunga na Betika, makala hii inakuelekeza hatua kwa hatua jinsi ya kujisajili na kuanza kubashiri.

Kwanza kabisa, tembelea tovuti rasmi ya Betika kwa kutumia kivinjari chako, pia unaweza kupakua programu ya Betika kwenye simu yako ya mkononi kutoka Playstore au App store.

Baada ya kufika kwenye tovuti ya Betika, utaona chaguo la "Jisajili" kwenye ukurasa wa mbele. Bonyeza kitufe hicho ili kuanzisha mchakato wa usajili.
  • Andika jina lako la kwanza na la mwisho. 
  • Weka namba yako ya simu inayofanya kazi. Hii itatumika kuthibitisha akaunti yako. 
  • Ingiza anwani yako ya barua pepe ili upate taarifa mbalimbali kutoka Betika.
  • Chagua neno la siri linalofaa ambalo litakuwa ngumu kwa wengine kulikumbuka lakini rahisi kwako.
  • Hakikisha unafuata kanuni za usalama.
Baada ya kujaza taarifa zako, Betika itakutumia ujumbe (SMS) kwenye namba ya simu ulioiingiza.

Ujumbe huu utakuwa na namba ya uthibitisho, ingiza namba hii kwenye sehemu inayohitajika ili kuthibitisha akaunti yako.

Baada ya kuthibitisha namba yako ya simu, sasa unaweza kuingia kwenye akaunti yako kwa kutumia jina lako la mtumiaji na neno la siri ulilochagua.

Hakikisha unakumbuka taarifa zako za kuingia ili uweze kuingia kirahisi wakati wowote.

Ili kuanza kubashiri, unahitaji kuweka fedha kwenye akaunti yako,ambapo njia za kuweka fedha Betika kama vile:
  • M-pesa
  • Airtel Money
  • Tigo Pesa na
  • Halopesa 
Chagua njia inayokufaa zaidi, fuata maelekezo kwenye tovuti ili kukamilisha Muhamala.

Baada ya kuweka fedha, sasa uko tayari kuanza kubashiri. Tembelea sehemu ya michezo, chagua mchezo unaoutaka kubashiri, na fuata hatua za kubashiri. Kumbuka kufuatilia matokeo na utafute nafasi nzuri za kubashiri kwa makini.

Kwa taarifa zaidi tembelea Website huka hapa.
Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA