Jinsi ya kucheza TatuMzuka Tanzania kupitia Vodacom,Halotel,Tigo na Airtel Chagua namba 3 kuanzia 0 hadi 9 katika mpangilio wowote na uweke dau la chini Tzs 1000.
Ni Rahisi tu! Linganisha namba na ushinde hadi mara 200 ya dau na TatuMzuka! Na kwa kila Tzs 1000 unayotumia inakuapa nafasi ya kuingia kwenye droo ya wiki ya Mzuka Jackpot ambapo unaweza kushinda hadi 10,000,000.
Jinsi ya kucheza TatuMzuka Tanzania kwa Tigo, Vodacom, Airtel & Halotel
Jinsi ya kucheza TatuMzuka Kwa Vodacom.
- Bonyeza *150*00#
- Chagua namba 4 (Lipia Bili)
- Chagua 4 kisha weka namba ya kampuni(555111)
- Ingiza namba ya kumbukumbu(namba zako 3 za bahati Mfano 123)
- Weka kiasi cha Dau unalotaka kuingiza shilingi 1000-30,000
- Ingiza namba yako ya siri,
- Bonyeza 1 kuthibitisha muamala wako.
- Bonyeza *150*01#
- Chagua namba 4 (Lipia Bili)
- Chagua 3 kisha weka namba ya kampuni(555111)
- Ingiza namba ya kumbukumbu (namba zako 3 za bahati Mfano 123)
- Weka kiasi cha Dau unalotaka kuingiza shilingi 1000-30,000
- Ingiza namba yako ya siri
- Bonyeza OK kuthibitisha muamala wako
- Bonyeza *150*60#
- Chagua namba 5 (Lipia Bili)
- Chagua 4 kisha weka namba ya kampuni(555111)
- Ingiza namba ya kumbukumbu (namba zako 3 za bahati Mfano 123)
- Weka kiasi cha Dau unalotaka kuingiza shilingi 1000-30,000
- Ingiza namba yako ya siri
- Bonyeza OK kuthibitisha muamala wako.
Jinsi ya kucheza TatuMzuka Kwa Halotel.
- Bonyeza *150*88#
- Chagua namba 4 (Lipia Bili)
- Chagua 4 Bahati nasibu
- Chagua namba 2 TatuMzuka
- Ingiza namba ya kumbukumbu (namba zako 3 za bahati Mfano 123)
- Weka kiasi cha Dau unalotaka kuingiza shilingi 1000 - 30,000
- Ingiza namba yako ya siri
- Bonyeza 1 kuthibitisha muamala wako
Bonyeza hapa kutazama Washindi
TatuMzuka vigezo na masharti Bofya Hapa
Tafadhali wasiliana na timu yetu kupitia barua pepe: help@tatumzuka.co.tz
Pia unaweza kututumia ujumbe kwa Facebook kwa jina @tatumzuka au kupitia ukurasa wetu wa instagram @tatumzuka.
Nambari ya simu: 0659 070 070.