JINSI ya kucheza TatuMzuka - Cheza Shinda hadi Mara 200 ya dau lako

JINSI ya kucheza TatuMzuka - Cheza Shinda hadi Mara 200 ya dau lako
JINSI ya kucheza TatuMzuka - Cheza Shinda hadi Mara 200 ya dau lako

Jinsi ya kucheza TatuMzuka Tanzania kupitia Vodacom,Halotel,Tigo na Airtel Chagua namba 3 kuanzia 0 hadi 9 katika mpangilio wowote na uweke dau la chini Tzs 1000.

Ni Rahisi tu! Linganisha namba na ushinde hadi mara 200 ya dau na TatuMzuka! Na kwa kila Tzs 1000 unayotumia inakuapa nafasi ya kuingia kwenye droo ya wiki ya Mzuka Jackpot ambapo unaweza kushinda hadi 10,000,000.

Jinsi ya kucheza TatuMzuka Tanzania kwa Tigo, Vodacom, Airtel & Halotel

Jinsi ya kucheza TatuMzuka Kwa Vodacom.

  • Bonyeza *150*00#
  • Chagua namba 4 (Lipia Bili)
  • Chagua 4 kisha weka namba ya kampuni(555111)
  • Ingiza namba ya kumbukumbu(namba zako 3 za bahati Mfano 123)
  • Weka kiasi cha Dau unalotaka kuingiza shilingi 1000-30,000
  • Ingiza namba yako ya siri,
  • Bonyeza 1 kuthibitisha muamala wako.
Jinsi ya kucheza TatuMzuka Kwa Tigo.

  • Bonyeza *150*01#
  • Chagua namba 4 (Lipia Bili)
  • Chagua 3 kisha weka namba ya kampuni(555111)
  • Ingiza namba ya kumbukumbu (namba zako 3 za bahati Mfano 123)
  • Weka kiasi cha Dau unalotaka kuingiza shilingi 1000-30,000
  • Ingiza namba yako ya siri
  • Bonyeza OK kuthibitisha muamala wako
Jinsi ya kucheza TatuMzuka Kwa Airtel.
  • Bonyeza *150*60#
  • Chagua namba 5 (Lipia Bili)
  • Chagua 4 kisha weka namba ya kampuni(555111)
  • Ingiza namba ya kumbukumbu (namba zako 3 za bahati Mfano 123)
  • Weka kiasi cha Dau unalotaka kuingiza shilingi 1000-30,000
  • Ingiza namba yako ya siri
  • Bonyeza OK kuthibitisha muamala wako.

Jinsi ya kucheza TatuMzuka Kwa Halotel.

  • Bonyeza *150*88#
  • Chagua namba 4 (Lipia Bili)
  • Chagua 4 Bahati nasibu
  • Chagua namba 2 TatuMzuka
  • Ingiza namba ya kumbukumbu (namba zako 3 za bahati Mfano 123)
  • Weka kiasi cha Dau unalotaka kuingiza shilingi 1000 - 30,000
  • Ingiza namba yako ya siri
  • Bonyeza 1 kuthibitisha muamala wako

Rahisi! Utapokea tiketi yako kupitia ujumbe mfupi wa maandishi.

Linganisha namba 2 au 3 bila mpangilio au 3 kwa mpangilio na ushinde kati ya Tzs 1000 na Tzs 6,000,000.

Utapokea ujumbe mfupi baada ya ushindi, na pesa ya ushindi italipwa moja kwa moja kwenye akaunti yako ya tigopesa, Airtel Vodacom au Halotel.
Bonyeza hapa kutazama Washindi

TatuMzuka vigezo na masharti Bofya Hapa

Tafadhali wasiliana na timu yetu kupitia barua pepe: help@tatumzuka.co.tz

Pia unaweza kututumia ujumbe kwa Facebook kwa jina @tatumzuka au kupitia ukurasa wetu wa instagram @tatumzuka.

Nambari ya simu: 0659 070 070.

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA