Bei za Ticket Uzinduzi wa Rio de Janeiro Bukoba

Bei za Ticket Uzinduzi wa Rio de Janeiro Bukoba
Bei za Ticket Uzinduzi wa Rio de Janeiro Bukoba

Ladies & Gentlemen, Brothers & Sister's novemba Hii tunaufungua mwezi wa 11 Kibabe ni Uzinduzi wa Chimbo Jipya la Burudani Rio de Janeiro bukoba ndani ya Kiwanja kipana na chenye mziki mnene, Big scereen, vinywaji vya Kila aina, nyama choma, BBQ n.k.

Ufunguzi huo utapambwa na Burudani kutoka kwa Marioo, huku kwenye mashine utachezeshwa na djallybidj_mimy, djsuperstar tzdjchusemasterrenothedj na mrdjhamy tz.

VIINGILIO vinakuwa Tsh 20,000 Kwa Kawaida, Tsh 30,0000 Kwa VIP A na Tsh 500,000 Kwa Meza Watu watano (5) - 500,000/=

Hii ni Kubwa Kuliko na Tunasemaje? Tunazima zote Tunawasha moja tu Rio de Janeiro Bukoba.
Bei za Ticket Uzinduzi wa Rio de Janeiro Bukoba
Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA