Mtandao wa Airtel nchini Tanzania ni mkubwa na unazidi kukua zaidi.
Daima tunaongeza miji na maeneo mapya kwenye huduma zetu ili uweze kufurahia huduma inayoendelea kuwa bora zaidi.
Airtel Money ndiyo yenye bei nafuu na salama zaidi.
Tumia Airtel Money leo, ni nafuu na ni salama, kupata huduma kwa wateja 24/7 Piga 100, Benki mahali popote, fanya miamala yako ya benki kwa urahisi.
Lipa bili na huduma kupitia Airtel Money leo.
Orodha iliyo hapa chini inakuelekeza maeneo ambayo huduma ya Airtel inapatikana.
Location List | |
---|---|
Arusha | Dar es Salaam |
Dodoma | Iringa |
Kagera | Kigoma |
Kilimanjaro | Lindi |
Manyara | Mara |
Mbeya | Morogoro |
Mtwara | Mwanza |
Pemba | Pwani |
Rukwa | Ruvuma |
Shinyanga | Singida |
Tabora | Tanga |
Zanzibar | Bangan’gata |
Duluti | Endasaki |
Karatu | Katesh |
KIA | Kiserian |
Kwangulelo | Lengijave |
Londos | Longido |
Losimingori | Magugu |
Makuyuni | Mbulu |
Mererani | Mto wa Mbu |
Namanga | Nemguru |
Ngaramtoni | Ngarenyanyuki |
Ngorongoro Crater | |
Tuvaila | Usa River |