393 Waitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)

393 Waitwa Kwenye Usaili Chuo  Kikuu  cha  Sokoine cha  Kilimo  (SUA)
MAJINA 393 ya Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)

Makamu Mkuu  wa  Chuo  Kikuu  cha  Sokoine cha  Kilimo  (SUA)  anapenda kuwaarifu waombaji wa  nafasi za kazi za muda  kupitia programu maalum  ya kuendeleza  zao la  Pamba  nchini zilizotangazwa  tarehe 18.09.2024 nafasi imetolewa  kwaajili  ya usaili kwa waombaji ambao  hawakuweza  kuhudhuria usaili wa awamu ya Kwanza na ya Pili.

Awamu  ya Tatu ya  usaili  imepangwa  kufanyika  tarehe 11.10.2024 katika Kampasi ya Edward Moringe Mjini Morogoro.

Aidha, waombaji watakaofaulu katika mchakato huo watapangiwa vituo vya kazi.

Wasailiwa  wanaoitwa  kwenye  usaili huo  ni  wale tu waliokidhi  vigezo  kutokana na   sifa zilizoainishwa katika tangazo la kazi na wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo: -
  • Usaili wa awamu  ya Tatuw a  kuandika utafanyika tarehe 11.10.2024 kama ilivyooneshwa kwenye tangazo.
  • Kila Msailiwa anapaswa kufika na moja kati ya vitambulisho vifuatavyo: -Kitambulisho cha Mkazi, kazi, Mpiga kura, Uraia au Hati ya Kusafiria.
  • Kila Msailiwa anapaswa kufika na VYETI HALISI,vya kuzaliwa, Sekondari (kidato cha IV, VI), Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada kutegemeasifa za Mwombaji.ila  msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
  • Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali pakufanyia usaili.
  • Msailiwa haruhusiwi kuingiana simu au kifaa chochote cha kielekroniki kwenye chumba cha usaili.
Waombaji ambao majina yao hayataonekana kwenye usaili wa awamu ya kwanza, pili na tatu watambue kuwa hawakukidhi vigezo vilivyoainishwa katika  tangazo  la  kazi.

Hivyo,  wasisite  kuomba  tena  pindi nafasi  za  kazi zitakapotangazwa kwakuzingatia vigezo vya tangazo husika.
Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA