WALIOITWA KAZINI AJIRA ZA INEC SINGIDA DISTRICT COUNCIL

WALIOITWA KAZINI AJIRA ZA INEC SINGIDA DISTRICT COUNCIL
WALIOITWA KAZINI AJIRA ZA INEC SINGIDA DISTRICT COUNCIL

TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO KWA WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR KIT OPERATORS

Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Singida Kaskazini anapenda kuwajulisha kuwa wafuatao wamechaguliwa kushiriki katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika nafasi za Waandishi Wasaidizi na Waendesha vifaa vya Biometrick (BVR KIT OPERATORS).

Wale wote waliochaguliwa wanatakiwa kuhudhuria mafunzo yatakayo wawezesha kutekeleza majukumu ya zoezi hili kwa ufanisi.

Tarehe ya mafunzo ni 22.09.2024 hadi 23.09.2024 kuanzia saa 1:30 Asubuhi katika kumbi zifuatazo:

KUNDI A- UKUMBI WA MWANAMWEMA SHEIN ULIOPO SHULE YA SEKONDARI MWANAMWEMA SHEIN (KATA YA MGORI)
Washiriki kutoka Kata za Mgori, Mughunga, Ngimu, Itaja na Mughamo.

KUNDI B- UKUMBI WA SHULE YA SEKONDARI MAGHOJOA ULIOPO SHULE YA SEKONDARI MAGHOJOA (KATA YA MAGHOJOA) Washiriki kutoka Kata za Kinyeto, Kinyagigi, Merya, Msange na Maghojoa.

KUNDI C- UKUMBI WA SAYUNI ULIOPO KATA YA ILONGERO JIRANI NA KWA BIG
Washiriki kutoka Kata za Mwasauya, Ikhanoda, Mrama, Ntonge na llongero.

KUNDI D-UKUMBI WA DARABE ULIOPO KATA YA MTINKO BARABARA YA KUELEKEA MUDIDA, Washiriki kutoka Kata za Mudida, Makuro, Mtinko, Msisi, Kijota na Ughandi.

Pamoja na tangazo hili orodha ya majina ya waombaji waliochaguliwa yameambatanishwa kwenye PDF hapa chini;
Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA