VIINGILIO SIMBA VS AL AHLI TRIPOLI 22 SEPTEMBER 2024

VIINGILIO SIMBA VS AL AHLI TRIPOLI 22 SEPTEMBER 2024
VIINGILIO SIMBA VS AL AHLI TRIPOLI 22 SEPTEMBER 2024

Klabu ya Simba Sports Club inatarajiwa kucheza mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup 2024/2025) dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya.

Mchezo huo utachezwa Jumapili ya tarehe 22 September 2024 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar Es Salaam kuanzia saa 10:00 jioni.

Kuelekea mchezo huo klabu ya Simba imetangaza viingilio ambapo mzunguuko itakuwa ni Tsh 3,000 huku viti vya rangi ya Machungwa ikiwa ni Tsh 5,000.

Viingilio vingine ni Tsh 15,000 kwa VIP C, Tsh 20,000 Kwa VIP B na 40,000 Kwa VIP A.
VIINGILIO SIMBA VS AL AHLI TRIPOLI 22 SEPTEMBER 2024
Aidha tiketi hizo tayari zinapatikana mtandaoni ukiwa na N-Card.

Tiketi za Platinum katika mchezo wa Simba dhidi ya Al Ahli Tripoli zinapatikana kwa Tsh. 150,000 ikiwa na huduma nyingi za kukufurahisha ukiwa uwanjani.

Kama unahitaji wapigie kwa namba +255 742 771 311.
Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA