Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imefanya maboresho ya ratiba ya Ligi Kuu ya NBC ambapo imeipangia tarehe michezo 14 ambayo haikuwa na tarehe katika ratiba ya awali na kufanya mabadiliko ya tarehe katika michezo minne (4).
Aidha Bodi imefanya mabadiliko ya muda wa michezo miwili huku mchezo mmoja ukibadilishiwa kiwanja kama ilivyoainishwa katika jedwali hapa chini, sababu ya mabadiliko hayo ikiwa ni kuondolewa kwa klabu za Azam na Coastal Union kwenye michuano ya CAF ngazi ya klabu.
Ratiba kamili ya Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025 inapatikana kwenye link hapa (Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2024/2025).
Ratiba ya Kamili ya michezo maboresho ni kama ifuatavyo;