TIMU ZILIZOFUZU MAKUNDI CAF CONFEDERATION CUP 2024/2025

TIMU ZILIZOFUZU MAKUNDI CAF CONFEDERATION CUP 2024/2025
TIMU ZILIZOFUZU MAKUNDI CAF CONFEDERATION CUP 2024/2025

Klabu ya Simba SC imefanikiwa kutinga hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya katika mchezo wa marudiano.

Ni ushindi ambao haukuwa mwepesi kwa Simba, kwani walilazimika kutoka nyuma baada ya kutanguliwa na Ahli Tripoli kwa bao la mshambuliaji wa Kimataifa wa Angola, Agostinho Cristovao Paciencia ‘Mabululu’ kwenye dakika ya 17.

Kwa matokeo hayo, Simba imekuwa timu pekee iliyofuzu hatua ya Makundi CAF Confederation Cup 2024/2025 kutoka Ukanda wa Afrika Mashariki.

Orodha Kamili ya timu Zilizofuzu hatua ya Makundi CAF Confederation Cup 2024/2025.

  1. Simba SC - Tanzania.
  2. USM Alger - Algeria.
  3. Al Masry - Egypt.
  4. ASC Jaraaf - Senegal.
  5. Enyimba FC - Nigeria.
  6. ASEC Mimosas - Ivory Coast.
  7. Black Bulls - Mozambique.
  8. FC Bravos do Maquis - Angola.
  9. Stellenbosch FC - South Africa.
  10. Orapa United - Botswana.
  11. CS Sfaxien - Tunisia.
  12. CS Constantine - Algeria.
  13. CD Lunda-Sul - Angola.
  14. RS Berkane - Morocco.
  15. Stade Malien - Mali.
  16. Zamalek SC - Egypt.

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA