Klabu ya Young Africans ndio klabu pekee kutoka ukanda wa Afrika Mashariki kutinga hatua ya makundi ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAF Champions League 2024/2025).
Kuelekea droo ya makundi itakayofanyika October 07 Mjini Cairo nchini Misri, Klabu ya Yanga ipo poti ya pili sambaba na Vilabu vya Raja Casablanca, Pyramids FC na CR Belouizdad.
Timu hizo hazitakuna na Young Africans katika hatua ya makundi na badala Wananchi watapangwa dhidi ya timu kutoka poti 1, 3 na 4.
Poti 1 ina timu za Al Ahly, Esperance, Mamelodi Sundowns na TP Mazembe.
Poti 3 ina timu za Al Hilal, Orlando Pirates, Sagrada Esperanca na AS Far Rabat
Poti 4 ina timu za MC Alger, Djoliba, Stade De Abdijan na Maniema Union.
๐๐จ๐ญ ๐๐ง๐:
๐ช๐ฌ Al Ahly ๐
๐น๐ณ Esperance
๐ฟ๐ฆ Mamelodi Sundowns
๐จ๐ฉ TP Mazembe
๐๐จ๐ญ ๐๐ฐ๐จ:
๐ฉ๐ฟCR Belouizdad
๐ฒ๐ฆ Raja Athletic Club
๐น๐ฟ Young Africans
๐ช๐ฌ Pyramids FC
๐๐จ๐ญ ๐๐ก๐ซ๐๐:
๐ธ๐ฉ Al Hilal
๐ฟ๐ฆ Orlando Pirates
๐ฆ๐ด Sagrada Esperanรงa
๐ฒ๐ฆ ASFAR
Pot 4:
๐ฉ๐ฟ MC Alger
๐ฒ๐ฑ Djoliba
๐จ๐ฉ Maniema Union
๐จ๐ฎ Stade d'Abidjan