TIMU AMBAZO SIMBA INAWEZA KUTANA NAZO HATUA YA MAKUNDI

TIMU AMBAZO SIMBA INAWEZA KUTANA NAZO HATUA YA MAKUNDI
TIMU AMBAZO SIMBA INAWEZA KUTANA NAZO HATUA YA MAKUNDI CAF CONFEDERATION CUP 2024/2025

Baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Al Ahli Tripoli na kujihakikishia tiketi ya kucheza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup 2024/2025), Kwenye droo ya Makundi itakayofanyika Oktoba 07 Mjini Cairo, klabu ya Simba SC itakuwa katika poti 1.

Katika poti 1 Simba ipo pamoja na vigogo wengine Zamalek SC ya Misri, RS Berkane ya Morocco na USM Alger ya Algeria.

Habari njema kwa Wanamsimbazi ni kuwa timu hizo hazitakutana katika hatua ya Makundi.

Kwenye makundi Simba itapangwa dhidi ya timu kutoka poti 2, 3 na zile ambazo hazina alama zitakazounda Poti 4.

Katika poti 2 kuna ASEC Mimosas ya Ivory Coast, Stade Malien ya Mali, Al Masry ya Misri na CS Sfaxien ya Tunisia ambapo hapa kuna timu Simba itakuna nayo kwenye hatua ya Makundi na timu zingine kwenye Poti 3 na 4.

Katika poti 3 kuna Enyimba ya Nigeria na ASC Jaaraf ya Senegal huku timu nyingine 4 ambazo hazina alama zinaunda poti ya 4 na mbili kuwekwa kwenye poti 3.

Timu hizo ni CS Constantine, Bravos do Maquis, Lunda Sul, Orapa United, Black Bulls na Stellenbosch.

CAF itachagua timu mbili kutoka timu hizo (𝐍𝐨𝐧 𝐫𝐚𝐧𝐤𝐞𝐝 𝐭𝐞𝐚𝐦𝐬) kukamilisha '𝐏𝐨𝐭 𝐓𝐡𝐫𝐞𝐞'

𝐏𝐨𝐭 𝐎𝐧𝐞:
• Zamalek SC 🇪🇬 
• ⁠RS Berkane 🇲🇦 
• ⁠Simba SC 🇹🇿
• ⁠USM Alger 🇩🇿

𝐏𝐨𝐭 𝐓𝐰𝐨:
• ASEC Mimosas 🇨🇮
• ⁠Stade Malien 🇲🇱 
• ⁠Al Masry 🇪🇬 
• ⁠CS Sfaxien 🇹🇳 

𝐏𝐨𝐭 𝐓𝐡𝐫𝐞𝐞:
• Enyimba FC 🇳🇬
• ⁠ASC Jaraaf 🇸🇳 

𝐏𝐨𝐭 Four:
• CD Lunda Sul 🇦🇴 
• Constantine 🇩🇿
• Orapa United 🇧🇼
• Bravos do Maquis 🇦🇴 
• Stellenbosch 🇿🇦
• Black Bulls 🇲🇿
Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA