TCU Majina 55,635 ya Waliochaguliwa Chuo zaidi ya Kimoja PDF

TCU Majina 55,635 ya Waliochaguliwa Chuo zaidi ya Kimoja PDF

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) ndiyo inasimamia mchakato wa udahili kwa vyuo vya elimu ya juu nchini Tanzania.

Kwa mwaka wa masomo 2024/2025, TCU imetekeleza mfumo wa chaguzi nyingi ili kuchukua wanafunzi ambao wamekubaliwa katika taasisi zaidi ya moja.

JINSI ya Kuangalia Majina ya waliochaguliwa Chuo zaidi ya Kimoja au Program.

  • Tafuta sehemu iliyoandikwa Orodha ya PDF ya Waliochaguliwa Shule zaidi ya Moja.
  • Donwload PDF ya orodha ya waombaji waliochaguliwa kwa kila raundi.
  • Hifadhi PDF kwenye kifaa chako Simu au Computer.
  • Fungua faili lililopakuliwa na utafute jina lako.
  • Unashauriwa kuchapisha orodha ya waliochaguliwa kwa madhumuni ya Kuangalia hata baadae.

DONWLOAD PDF YA MAJINA HAPA

Kwa Taarifa zaidi tembelea tovuti rasmi ya TCU kwa http://www.tcu.go.tz/.

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA