SIMBA NA YANGA KUSHIRIKI AFRICAN FOOTBALL LEAGUE (AFL) 2025

SIMBA NA YANGA KUSHIRIKI AFRICAN FOOTBALL LEAGUE (AFL) 2025

SIMBA NA YANGA KUSHIRIKI AFRICAN FOOTBALL LEAGUE (AFL) 2025

Shirikisho la Mpira Barani Afrika limetoa Orodha ya vilabu vitakavyoshiriki Michuano ya African Football League (AFL) itakayopigwa mwakani nchini Afrika kusini kuanzia January 11 mpaka February 09,2025 huku vilabu 24 Vikishiriki,

Kwa Ukanda wa CECAFA utawakilishwa na vilabu vinne ambavyo ni Simba SC, Young Africans za Tanzania na Al Hilal pamoja na El Merreikh zote za Sudan.

Kwa Ukanda wa COSAFA utawakilishwa vilabu vya Mamelodi Sundowns, Orlando Pirates, Petro Atletico de Luanda na Marumo Gallants.

Ukanda wa UNAF umetoa timu saba ambazo ni Al Ahly, Wydad Casablanca, RS Berkane, Zamalek, Raja Casablanca, USM ALGER, CR Belouizdad na Esperance Tunis.

Ukanda wa UFOA na UNIFFAC umetoa jumla ya timu nane ambazo ni TP Mazembe, ASEC Mimosas, Horoya Athletic Club, Rivers United, Cotton de Garoua, FC NOUDHIBOU, AS Vita Club na Enyimba.

Timu zote zilizotajwa Kushiriki Mashindano hayo zimezingatiwa Ranks za Ubora wa CAF kwa kila Ukanda.

Post a Comment

Previous Post Next Post

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA