Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 27 November 2024 hizi hapa ni Sifa za Mgombea.
- Awe raia wa Tanzania
- Awe na umri wa miaka 21 au zaidi.
- Awe na uwezo wa kusoma na kuandika Kiswahili au Kiingereza
- Awe na shughuli halali ya kumwezesha kuishi
- Awe mkazi wa eneo la kitongoji
- Awe Mwanachama wa Chama Cha Siasa na amedhaminiwa na Chama.
- Awe na akili timamu