RATIBA YA USAILI AJIRA ZA HALMASHAURI SEPTEMBER 2024

RATIBA YA USAILI AJIRA ZA HALMASHAURI SEPTEMBER 2024
RATIBA YA USAILI AJIRA ZA HALMASHAURI SEPTEMBER 2024

Tafadhali rejea kichwa cha habari pamoja na barua yangu yenye Kumb Na. AB. 161/259/01/A/41 ya tarehe 06 Juni, 2022 kuhusu somo tajwa hapo juu.

Napenda kukutaarifu kwamba, Sekretarieti ya Ajira imeandaa ratiba ya usaili wa kada zilizokasimiwa unatarajia kufanyika kuanzia tarehe 26 Septemba - 02 Oktoba, 2024.

Kila Mwajiri anapaswa kuzingatia ratiba hiyo, ikiwa ni pamoja na kufanya maandalizi ya usaili mapema ikiwemo kutoa tangazo la kuitwa kwenye usaili waombaji kazi wote waliopendekezwa kulingana na kada zilizotangazwa likiwa limeainisha aina ya vitambulisho anavyopaswa kuja navyo msailiwa kwaajili ya utambuzi wakati wa usaili (Vitambulisho hivyo ni pamoja na Kitambulisho cha Taifa (NIDA), Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha Mkazi, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva na barua ya utambulisho toka Serikali ya Kijiji/Mtaa.

Pamoja na barua hii naambatisha ratiba na orodha ya Halmashauri thelathini na moja (31) zitakazoendesha usaili huo.

Ratiba Kamili ya Usaili Kwa Halmashauri 31 ni kama ifuatavyo;






Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA