RATIBA ya Tanzania Kufuzu AFCON 2025

RATIBA ya Tanzania Kufuzu AFCON 2025

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kinaendelea na maandalizi kwaajili ya mechi mbili za kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON 2025 itakayofanyika nchini Morocco.

Tanzania ipo kundi H ikiwa pamoja na DR Congo, Ethiopia pamoja na Guinea.

Katika mechi mbili za kwanza Tanzania itacheza na Ethiopia Katika mchezo wa Kwanza Septemba 04 katika uwanja wa Benjamin Mkapa Kuanzia Saa 1:00 Usiku.

Baada ya mechi hiyo Tanzania itasafiri hadi nchini Guinea kwaajili ya mchezo wa pili utakaopigwa Septemba 10-2024.

Viingilio vya mchezo dhidi ya Ethiopia ni Tsh 2,000 Kwa Mzunguko na 5,000 Kwa VIP B na C.

Ratiba Kamili ya Tanzania Kufuzu AFCON 2025

Septemba 4, 2024 - Tanzania vs Ethiopia
Septemba 10, 2024 - Guinea vs Tanzania
Oktoba 10, 2024 - DR Congo vs Tanzania
Oktoba 15, 2024 - Tanzania vs DR Congo
Novemba 11-19, 2024 - Ethiopia vs Tanzania
Novemba 11-19, 2024 - Tanzania vs Guinea

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA