RATIBA YA NGAO YA JAMII WANAWAKE 2024

RATIBA YA NGAO YA JAMII WANAWAKE 2024
RATIBA YA NGAO YA JAMII WANAWAKE 2024

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuwa mechi za Ngao ya Jamii kwa upande wa Wanawake zitapigwa October 02-05, 2024 Kutoka September 24-27 iliyopangwa awali.

Simba Queens, JKT Queens, Yanga Princess na Ceasiaa zitachuana katika michuano hiyo inayoashiria ufunguzi wa msimu mpya wa ligi kuu ya Wanawake

Kwa mara nyingine, itashuhudiwa mechi ya dabi ambapo Simba Queens waliotwaa ubingwa msimu uliopita watachuana na Yanga Princess wakati JkT Queens wakiumana na Ceasiaa Queens katika mechi za Nusu Fainali.

Ratiba ya Nusu Fainali Ngao ya Jamii 2024

👉02 October 2024
13:00 JKT Queens vs Ceasia Queens
16:00 Simba Queens vs Yanga Princess

Ratiba ya Mshindi wa Tatu Ngao ya Jamii 2024

👉05 October-2024
13:00 Looser SF1 vs Looser SF2

Ratiba ya Fainali Ngao ya Jamii 2024

👉05 October-2024
16:00 Winner SF1 vs Winner SF2

Mechi zote hizi zitachezwa kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge Jijini Dar Es Salaam.
Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA