RATIBA YA MTIHANI WA DARASA LA SABA (STAND SEVEN 2024)

RATIBA YA MTIHANI WA DARASA LA SABA (STAND SEVEN 2024)

RATIBA YA MTIHANI WA DARASA LA SABA (STAND SEVEN 2024)

RATIBA ya Mtihani wa Darasa la Saba 2024, Ratiba ya Mtihani wa STD Seven September 2024, Ratiba ya Mtihani wa Standard 7 2024,Ratiba ya Mtihani wa Darasa la 7 PSLE ​​Septemba 2024, PSLE 2024 EXAM TIMETABLE.

Wiki ya pili ya mwezi Septemba 2024 ndiyo wiki ambayo Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) utafanyika.

Ratiba ya mtihani wa PSLE, kwa ujumla, inabainisha tarehe za kila somo ambalo wanafunzi watatathminiwa.

PSLE inashughulikia hisabati (Hisabati), sayansi (Sayansi), Lugha ya Kiingereza, masomo ya kijamii (Maarifa ya Jamii), na kiswahili.

Ifuatayo ni ratiba Kamili ya Mtihani wa Darasa la Saba mwaka huu 2024.

PSLE 2024 EXAM TIMETABLE - PSLE 2024

RATIBA YA MTIHANI WA DARASA LA SABA (STAND SEVEN 2024)

MAELEKEZO MUHIMU

1.Hakikisha kuwa unayo Ratiba ya Mtihani ya mwaka 2024 iliyoandaliwa na Baraza la Mitihani la Tanzania.

2.Hakikisha kwamba unasoma jina la somo juu ya bahasha husika na kuthibitisha kuwa somo hilo ndilo linalostahili kufanyika wakati huo kulingana na Ratiba ya Mtihani.

3.Kabla ya kufungua bahasha, mpe Mtahiniwa asome kwa sauti jina la somo lililoandikwa juu ya bahasha ili kuthibitisha ni somo husika kwa mujibu wa ratiba.

4.Endapo utata utajitokeza kati ya maelekezo yaliyomo katika Karatasi ya Mtihani na Ratiba ya Mtihani, maelekezo yaliyomo katika karatasi ya Mtihani husika ndiyo yatakayofuatwa.

5.Watahiniwa wenye mahitaji Maalum (Wasioona, Uoni hafifu, Viziwi) waongezewe MUDA WA ZIADA WA DAKIKA 20 KWA KILA SAA kwa somo la Hisabati na DAKIKA 10 KWA KILA SAA kwa masomo mengine.

6.Watahiniwa wenye UONI HAFIFU wapewe karatasi za Mtihani zenye maandishi yaliyokuzwa, zilizoandaliwa na Baraza la Mitihani la Tanzania kwa matumizi yao.

7.Watahiniwa waelekezwe;

  • Kuingia ndani ya chumba cha Mtihani nusu saa kabla ya muda wa Mtihani na watakaochelewa kwa zaidi ya nusu saa baada ya Mtihani kuanza hawataruhusiwa.
  • Kufuata maelekezo yote yatakayotolewa na wasimamizi wa Mtihani.
  • Kuandika namba ya Mtihani kwa usahihi.
  • Kutofanya mawasiliano ya maneno au kwa njia yoyote baina yao.
  • Ikiwa Mtahiniwa ana tatizo anatakiwa kunyoosha mkono ili kuomba msaada kwa msimamizi wa Mtihani.
  • Kutojihusisha na vitendo vya udanganyifu katika mtihani kwani watakaojihusisha matokeo yao yatafutwa.
Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA