RASMI ELIE MPANZU NI MNYAMA

RASMI ELIE MPANZU NI MNYAMA
RASMI ELIE MPANZU NI MNYAMA

Klabu ya Simba SC imekamilisha usajili wa winga wa kimataifa wa DR Congo, Elie Mpanzu Kibisawala kwa mkataba wa miaka miwili.

Mpanzu mwenye umri wa miaka 22 amesaini mkataba huo kwa dau la dola 200,000 (Milioni 545 za Kitanzania) kama mchezaji huru baada ya mkataba wake na  As Vita Club kufikia tamati.

Winga huyo alikuwepo Jana kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kuwashuhudia wachezaji wenzake wakitinga makundi katika michuano ya kombe la Shirikisho (CAF CC) kwa ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya.

RASMI ELIE MPANZU NI MNYAMA
Baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili sasa anaweza kuitumikia Klabu yake ya Simba kuanzia hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup 2024/2025).

Hata hivyo Mpanzu atalazimika kusubiri hadi December 15 dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa Ili kuanzia kuitumikia Simba kwenye Ligi Kuu ya NBC.
RASMI ELIE MPANZU NI MNYAMA
Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA