NECTA: ADA ZA USAJILI WA KAWAIDA NA USAJILI KWA KUCHELEWA PAMOJA NA ADHABU

NECTA: ADA ZA USAJILI WA KAWAIDA NA USAJILI KWA KUCHELEWA PAMOJA NA ADHABU
NECTA: ADA ZA USAJILI WA KAWAIDA NA USAJILI KWA KUCHELEWA PAMOJA NA ADHABU

Aina ya mtihaniVipindi vya Usajili
Usajili wa kawaidaUsajili kwa kuchelewa pamoja na adhabu
Cheti cha mtihani wa msingi.1 Januari - 28 FebruariHAKUNA
Mtihani wa Maarifa1 Januari - 28 Februari1 Machi - 31 Machi
Mtihani wa Kidato cha Nne1 Januari - 28 Februari1 Machi - 31 Machi
Mtihani wa Kidato cha Sita1 Julai - 30 Septemba1 Oktoba - 31 Oktoba
Mtihani wa Ualimu Ngazi ya Cheti daraja A1 Julai - 30 Septemba1 Oktoba - 31Oktoba
Stashahada katika Mtihani wa Elimu ya Sekondari1 Julai - 30 Septemba1 Oktoba - 31 Oktoba

Ada za Usajili

Aina ya mtihaniAda za Usajili
Usajili wa kawaidaUsajili kwa kuchelewa pamoja na adhabu
Cheti cha mtihani wa msingi.
(Mfumo wa lugha ya kiingereza.)
TZS. 15,000HAKUNA
Mtihani wa MaarifaTZS. 30,000TZS. 40,000
Mtihani wa Kidato cha NneTZS. 50,000TZS. 65,000
Mtihani wa Kidato cha SitaTZS. 50,000TZS. 65,000
Mtihani wa Ualimu Ngazi ya Cheti daraja ATZS. 50,000TZS. 65,000
Stashahada katika Mtihani wa Elimu ya SekondariTZS. 50,000TZS. 65,000

ZINGATIA: Ada hizo hapo juu zinatumika kwa tarehe maalum katika vipindi vya usajili.

Aidha NECTA ina akaunti za benki zifuatazo ambazo zinaweza kutumika kulipia ada.

Kumbuka kutunza risiti yako ya malipo ya benki hadi utakapothibitisha na NECTA kuhusu malipo yako.

ZINGATIA: Private Candidates are supposed to pay their registration fees at Tanzania Posts Corporation (POSTA)

Na.Jina la benkiJina la akauntiNamba ya akauntiSarafuAina ya malipo
1.Benki ya NMB-Bank House.NECTA Reccurent Revenue Account2011100238TZSAda ya mtihani
2.Benki ya NBC- Tawi la CorporateBaraza la Mitihani la Tanzania.011103001074TZSAda ya mtihani
3.Benki ya CRDB-Tawi la KijitonyamaBaraza la Mitihani la Tanzania.01J1013540000TZSAda ya mtihani
4.Benki CRDB-Tawi la Tower.Baraza la Mitihani la Tanzania.03J1042982300GBP (£)Ada ya mtihani (Bodi za nje)
Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA