NAFASI ZA KAZI KUSIMAMIA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2024 ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

NAFASI ZA KAZI KUSIMAMIA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2024 ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

NAFASI ZA KAZI KUSIMAMIA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2024 ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MUDA KWA WATUMISHI WA UMMA YA MSIMAMIZI WA KITUO CHA UCHAGUZI

Kwa madhumuni ya kusimamia vituo vya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, na kwa kuzingatia Kanuni za Uchaguzi wa Wenyeviti wa Mitaa na Wajumbe wa Kamati ya Mtaa katika Mamlaka za Miji Tangazo la Serikali Na.574 la tarehe 12/7/2024, Msimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela anatangaza nafasi za kazi za muda kwa Watumishi wa Umma ya Msimamizi wa Kituo cha Uchaguzi kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 2024.

SIFA ZA MWOMBAJI
  • Awe ni raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 au zaidi.
  • Awe ni mtumishi wa umma mwenye elimu ya kidato cha nne au zaidi na anaejua kusoma na kuandika katika lugha ya Kiswahili au Kiingereza.
  • Awe muadilifu na muaminifu.
  • Asiwe na dhamana au kiongozi katika chama chochote cha siasa.
MASHARTI YA JUMLA
  • Mwombaji aambatishe:-
  • Nakala za vyeti vya elimu au taaluma.
  • Wasifu (CV) ukionesha anuani yake ya makazi, namba za simu za kuaminikaPicha 2 zenye ukubwa sawa na picha iliyomo kwenye pasi ya kusafiria (Passport size) za hivi karibuni.
  • arua za maombi zipitie kwa mwajiri wa mtumishi.
Barua zote za maombi ziandikwe kwa anuani ifuatayo:-
Msimamizi wa Uchaguzi,
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela,
200 Barabara ya Buswelu,
S.L.P 735
33822 MWANZA.

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 24 Septemba 2024
Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA