NAFASI ZA KAZI KUSIMAMIA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA SERENGETI DISTRICT COUNCIL

NAFASI ZA KAZI KUSIMAMIA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA SERENGETI DISTRICT COUNCIL
NAFASI ZA KAZI KUSIMAMIA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA SERENGETI DISTRICT COUNCIL

Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti anawatangazia Watumishi wa Umma wote nafasi za kazi kwa ajili ya shughuli za uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika tarehe 27 Novemba 2024.

NAFASI ZILIZOTANGAZWA
  • Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Kituo
  • Afisa Mwandikishaji wa Wapiga kura
SIFA ZINAZOTAKIWA
  • Asiwe na dhamana au Uongozi katika chama chochote cha siasa
  • Awe ni Mtumishi katika Utumishi wa Umma (Public Service) Awe mwadilifu
NAMNA YA KUANDIKA BARUA
  • Barua zote ziandikwe kwa mkono
  • Barua iandikwe majina kamili yanayotumika katika Utumishi Barua itaje nafasi ya kazi unayoomba
  • Barua itaje kituo cha kazi
  • Barua itaje Cheo katika Utumishi wa Umma
  • Barua iwe na anuani kamili ikiwa na namba ya simu inayopatikana wakati wote
  • Barua iambatishwe na maelezo binafsi (CV)
  • Barua ziwasilishwe kwa mkono masijala ya wazi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Serengeti
Barua iandikwe kwa:-Msimamizi wa Uchaguzi, Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti, S.L.P 176, MUGUMU-SERENGETI.
Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA