NAFASI ZA KAZI KUSIMAMIA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2024 MEATU DISTRICT COUNCIL

NAFASI ZA KAZI KUSIMAMIA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2024 MEATU DISTRICT COUNCIL
NAFASI 2043 ZA KAZI KUSIMAMIA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2024 MEATU DISTRICT COUNCIL

Msimamizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Meatu anawatangazia Watumishi wa Umma wote nafasi za kazi kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika tarehe 27/11/2024.

NAFASI
  • MSIMAMIZI WA KITUO - Nafasi 681,
  • MSIMAMIZI MSAIDIZI WA KITUO - Nafasi 681,
  • MWANDIKISHAJI WAPIGA KURA - Nafasi 681
SIFA ZA MWOMBAJI
  • Awe raia wa Tanzania;
  • Awe Mtumishi wa Umma;
  • Awe mkazi wa wilaya ya Meatu;
  • Awe amehitimu angalau elimu ya kidato cha nne;
  • Awe na uwezo wa kujifunza; na
  • Asiwe kiongozi wa chama cha siasa.
JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Barua ya Maombi iandikwe kwa mkono, ikiwa na majina kamili, kazi na cheo cha Mwombaji, nafasi anayoomba, namba ya simu, kituo cha kazi katika Utumishi wa Umma, na Wasifu wa Mwombaji.

Barua ya Maombi itumwe kwa njia ya mkono Masjala ya Wazi kwa anwani ifuatayo:- Msimamizi wa Uchaguzi, Halmashauri ya Wilaya ya Meatu, S. L. P. 44, Meatu.

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 21/09/2024 saa 8.00 mchana.
Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA