NAFASI ZA KAZI KUSIMAMIA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2024 KONGWA DISTRICT COUNCIL

NAFASI ZA KAZI KUSIMAMIA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2024 KONGWA DISTRICT COUNCIL
NAFASI ZA KAZI KUSIMAMIA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2024 KONGWA DISTRICT COUNCIL

Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa anawatangazia Watumishi wa Umma wote nafasi za kazi kwa ajili ya shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika tarehe 27 Novemba, 2024

NAFASI ZINAZOTANGAZWA NI:-
  • Msimamizi wa Kituo
  • Afisa Mwandikishaji wa Wapiga kura
SIFA ZINAZOTAKIWA
  • Asiwe na dhamana au uongozi katika Chama chochote cha Siasa
  • Awe ni Mtumishi katika Utumishi wa Umma (Public Service)
  • Awe Mwadilifu
NAMNA YA KUANDIKA BARUA
  • Barua zote ziandikwe kwa mkono.
  • Barua iandikwe kwa majina kamili yanayotumika katika Utumishi wa Umma Barua iainishe nafasi ya kazi unayoomba.
  • Barua iainishe cheo chako katika Utumishi wa umma.
  • Barau iainishe kituo cha kazi.
  • Barua iandikwe anwani kamili ikiwa na namba ya simu inayopatikana wakati wote.
  • Barua iambatishwe na taarifa binafsi (CV)
  • Barua ziwasilishwe kwa mkono Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Kongwa.
Barua iandikwe kwa anwani ifuatavyo:-
Msimamizi wa Uchaguzi,
Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa,
S.L.P 57
KONGWA.

Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 20 Septemba, 2024 saa 9:30
alasiri
Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA