NAFASI ZA KAZI KUSIMAMIA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2024 ITILIMA DISTRICT COUNCIL

NAFASI ZA KAZI KUSIMAMIA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2024 ITILIMA DISTRICT COUNCIL
NAFASI ZA KAZI KUSIMAMIA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2024 ITILIMA DISTRICT COUNCIL

Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima anawatangazia Watumishi wa Umma wote nafasi za kazi kwaajili ya shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika tarehe 27 Novemba, 2024.

NAFASI ZINAZOTANGAZWA

  • Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya vituo.
  • Afisa Mwandikishaji wa Wapiga kura.

SIFA ZINAZOTAKIWA

  • Asiwe na dhamana au Uongozi katika chama chochote cha Siasa.
  • Awe ni mtumishi katika Utumishi wa Umma (Public Servant)
  • Awe mwadilifu

NAMNA YA KUANDIKA BARUA

  • Barua zote ziandikwe kwa mkono.
  • Barua iandikwe majina kamili yanayotumika katika Utumishi.
  • Barua itaje nafasi ya kazi unayoomba.
  • Barua itaje cheo katika Utumishi wa Umma.
  • Barua itaje kituo cha kazi.
  • Barua iwe na anuani kamili ikiwa na namba ya simu inayopatikana wakati wote.
  • Barua iambatishwe na maelezo (CV).
  • Barua ziwasilishwe kwa mkono masijala ya wazi ya Mkurugenzi Mtendaji Itilima.

Mwisho wa kupokea barua ni tarehe 21 Septembar 2024 saa 9:30 Alasili.

Barua iandikwe kwa: Msimamizi wa Uchaguzi, Halmashauri ya Wilaya ya Itilima, S. L. P 308, ITILIMA.

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA