NAFASI 60 KAZI ZA AFISA MRADI WA MALIPO YA KABONI

NAFASI 60 KAZI ZA AFISA MRADI WA MALIPO YA KABONI
NAFASI 60 KAZI ZA AFISA MRADI WA MALIPO YA KABONI

WAJIBU NA MAJUKUMU YA KAZI:
  • Kusimamia uandikishaji wa wakulima waliokidhi vigezo vya mradi.
  • Kutoa mafunzo na kufuatilia maendeleo ya upanzi, utunzaji na maendeleo ya miti na mazao
  • Kukusanya na kufuatilia taarifa za mashambani kwa kushirikiana na wakulima.
  • Kutoa mrejesho wa maendeleo na changamoto kwa msimamizi wa Malipo ya Kaboni.
  • Kushirikiana na wakulima katika kufanikisha utekelezaji wa mafanikio ya mradi
SIFA ZA MWOMBAJI
  • Awe na elimu ya astashahada (Certificate) katika kilimo, mazingira, maendeleo ya jamii au maeneo yanayohusiana.
  • Awe na uwezo mzuri wa kuwasiliana kwa Kiswahili fasaha.
  • Awe na ujuzi katika masuala ya teknolojia na ukusanyaji wa data.
  • Awe na uzoefu wa kufanya kazi na wakulima, hasa katika maeneo ya vijijini.
  • Awe na uwezo wa kufanya kazi katika mazingira ya kijijini na kusafiri umbali mrefu.
  • Awe na viambatanisho mhimu vifuatavyo Nakala ya kitambulisho au namba ya NIDA, Nakala ya cheti cha kuzaliwa au kitambulisho cha mpiga kura Nakala za vyeti vya elimu (kuanzia kidato cha nne, astashahada n.k,)
JINSI YA KUTUMA MAOMBI:
  • Hakikisha maombi yako yanaonyesha mahali ulipo kwa sasa, wilaya unayoomba kufanyia kazi, Vijiji angalau 3 unavyopendelea kufanya kazi, na Ueleze kama uko tayari kufanya kazi katika vijiji vingine tofauti na ulivyo pendekeza. Tazama hapa Orodha ya Vijiji vyenye nafasi za Kazi.
  • Wasilisha maombi (barua yako ya maombi na wasifu (CV) kwenye ofisi zetu au maduka ya OAF yaliyopo mikoa ya Iringa na Njombe.
  • Kwa Njia ya Mtandaoni (Online), Tuma barua yako ya maombi na wasifu (CV) kwa njia ya mtandao kupitia tovuti hii ya mtandao https://forms.gle/mSf8KmbQcqnaTQPL7
  • Tarehe ya mwisho ya kuwasilisha maombi ya kazi ni: 15 September, 2024
Kumbuka
Kwa changamoto yoyote utakayo ipata piga simu 0800713888 kwa ufafanuzi zaidi.

Kama unatokea sehemu tofauti na vijiji ambavyo nafasi za Afisa Malipo ya Kaboni
zinahitajika, One Acre Fund haitagharamikia gharama zozote za uhamisho.
Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA