NAFASI 45 ZA KAZI KONDOA DISTRICT COUNCIL

NAFASI 45 ZA KAZI KONDOA DISTRICT COUNCIL
NAFASI 45 ZA KAZI KONDOA DISTRICT COUNCIL

Kampuni ya "LIKUNGU Construction Company Limited (LIKUNGU)" ni kampuni iliyosajiliwa nchini Tanzania na ofisi zake zipo Dar es Salaam pamoja na Mtaa wa Serya, Wilaya ya Kondoa.

LIKUNGU ni Mkandarasi Mdogo wa Kampuni ya "China Petroleum Pipeline Engineering Co. Ltd (CPP)" ambaye ni Mkandarasi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP).

LIKUNGU inaendelea na shughuli za awali za ujenzi wa Kambi Kuu Namba 12 (MCPY-12) katika Wilaya ya Kondoa, Mkoa wa Dodoma.

Hivyo basi, LIKUNGU inatangaza fursa za ajira za muda mfupi.

FURSA NI ZA WAZAWA NA WAKAZI WA MUDA MREFU WA MTAA WA SERYA, KATA YA SERYA, WILAYA YA KONDOA, MKOA WA DODOMA.

Mchakato wa ajira ni wa haki na uwazi.

Wanawake wanasisitizwa kuomba nafasi hizi za kazi. 

Nafasi za Fundi Seremala Msaidizi, Fundi Ujenzi Msaidizi na Fundi Chuma Msaidizi zitakuwa na Majaribio kwa Vitendo.

Majaribio hayo yatasimamiwa na CPP na LIKUNGU ili kuhakikisha waombaji waliochaguliwa wana ujuzi unaohitajika kwa kazi husika.

Tafadhali kumbuka kuwa hakuna ada au gharama zozote za kuomba au kubaki na kazi kwenye MRADI WA EACOP.

Ingawa waombaji watakaofanikiwa kupata nafasi wataajiriwa na LIKUNGU, watakuwa wanafanya kazi kwenye eneo linalosimamiwa na CPP.

Waombaji watakaofanikiwa watapatiwa mafunzo na kutarajiwa kufuata sera na taratibu za CPP na EACOP.

Pia, wanatarajiwa kuleta mabadiliko chanya ndani ya timu zao kwa njia salama, kufuata taratibu na mahitaji ya kisheria ya EACOP na CPP na kwa kuzingatia ubora.

JINA LA MRADI: MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI LA AFRIKA MASHARIKI AJIRA KWA SHUGHULI ZA AWALI ZA UJENZI WA KAMBI KUU NAMBA 12 (MCPY- 12).

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA