NAFASI 44 ZA KAZI KAHAMA MUNICIPAL COUNCIL

NAFASI ZA KAZI KAHAMA MUNICIPAL COUNCIL
Karibu Nijuze Habari Blog, chanzo chako kikuu cha habari zote ndani na nje ya nchi.

Nijuze Habari Blog tumejitolea kukupa habari bora zaidi, tukitilia mkazo habari za Michezo, Ajira, Magazeti, Matokeo, Selection, Interview, Internship pamoja na Makala Mbalimbali.

NAFASI 44 ZA KAZI KAHAMA MUNICIPAL COUNCIL

Halmashauri ya Manispaa ya Kahama katika kuboresha huduma za usafi wa mazingira inategemea kuajiri vibarua wa muda wa kufanya usafi wa mazingira kupitia ngazi za Kata ambao watakuwa wanasimamiwa na Maafisa waliopo ngazi ya Kata ili kuimarisha usafi wa Mazingira katika Kata husika, vibarua hao watapangiwa majukumu ya kufanya usafi kila siku kwa kadri Maafisa watakavyoona inafaa.

SIFA ZA MWOMBAJI WA KAZI ZA USAFI WA MAZINGIRA:-
  • Awe raia wa Tanzania
  • Awe mkazi wa Kata anayoombea kazi
  • Awe na umri wa miaka 20 hadi 40
  • Asiwe na ugonjwa wa akili uliothibitishwa na Daktari anayetambulika na Serikali au bodi ya utabibu
  • Awe na akili timamu
  • Awe na uwezo wa kufanya kazi bila kusimamiwa na mtu yeyote
  • Awe na Kitambulisho cha Taifa (NIDA) au Mpiga kura
Maombi ya kazi hii yatumwe kwa Mtendaji wa Kata anayoombea kazi.

Mwisho wa kupokea barua za maombi ni Tarehe 24/09/2024.
Usaili utafanyika katika Kata yake aliyoombea kazi tarehe 26/09/2024 kuazia saa 4:00 asubuhi.
Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA