NAFASI 25 ZA WAKUSANYA USHURU TEMEKE MUNICIPAL COUNCIL

NAFASI 25 ZA WAKUSANYA USHURU TEMEKE MUNICIPAL COUNCIL
NAFASI 25 ZA WAKUSANYA USHURU TEMEKE MUNICIPAL COUNCIL

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke anawatangazia Watanzania wote wenye sifa nafasi za kazi kukusanya ushuru katika maeneo mbalimbali.

✅WAKUSANYA USHURU - Nafasi - 25

SIFA ZANAZOHITAJIKA

  • Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha Nne
  • Awe na elimu ya Cheti /Stashahada ya Uhasibu au Uongozi wa Biashara kutoka chuo/ Taasisi yoyote inayotambuliwa na Serikali.

KAZI /MAJUKUMU ZA WAKUSANYA USHURU

  • Kukusanya ushuru wa Soko
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wake

MASHARTI YA UJUMLA.

  • Mwombaji lazima awe Raia wa TanzaniaA
  • we amehitimu na kupata cheti cha kidato cha Nne, "Results Slip " hazitakubaliwa.A
  • we na Cheti cha KuzaliwaA
  • we na umri kati ya miaka 18-45.A
  • jira ni ya mkataba wa miezi sita (6).j
  • Mwajiri atalipa mshahara wa Tshs. 380,000/= kwa mwezi.

Barua zote ziambatane na nyaraka zifuatazo:

Nakala za vyeti vya mwombaji vilivyothibitishwa ambao ni;-

  • Cheti cha Kidato cha Nne
  • Cheti cha Taaluma
  • Cheti cha Kuzaliwa
  • Kitambulisho cha Taifa
  • Picha ndogo ya rangi (colored passport size moja ya hivi karibuni
  • Waombaji wenye sifa pungufu au zaidi na zilizotajwa hapo juu hawaruhusiwi kuomba kwani maombi yao hatatafanyiwa kazi
  • Barua ambazo hazikuambatanishwa na nyaraka zilizotajwa hapo juu hazitashughulikiwa.

JINSI YA KUTUMA MAOMBI.

Barua zote za maombi ziandikwe kwa mkono zikiwa na anwani kamili ya mwombaji pamoja na namba ya simu zitumwe kwa anuani ifuatayo hapo chini:

MKURUGENZI WA MANISPAA,

S. L. P 46343,

MANISPAA YA TEMEKE.

Mwisho kupokea maombi ni tarehe 30/09/2024 saa 9.30 Alasiri

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA