Msimamo wa Kundi la Taifa Stars Kufuzu AFCON 2025, Msimamo Kundi H la Tanzania Kufuzu AFCON 2025,Msimamo wa Kundi H Kufuzu AFCON 2025, Timu ya Taifa ya Tanzania ipo Kundi H pamoja na timu za DR Congo, Guinea, na Ethiopia kuwania kufuzu AFCON 2025.
Tanzania kwenye Kundi hili ipo pamoja na mataifa matatu ambayo yanashikilia nafasi tofauti katika viwango vya soka vya Dunia vya FIFA.
Kwa upande wa DR Congo wao katika nafasi ya 60, Guinea ipo kwenye nafasi ya 77, Tanzania yenyewe nafasi ya 113, huku Ethiopia ikiwa nafasi ya 143.