MSIMAMO wa Kundi la Tanzania Kufuzu AFCON 2025

MSIMAMO WA KUNDI LA TANZANIA KUFUZU AFCON 2025
Msimamo wa Kundi la Taifa Stars Kufuzu AFCON 2025, Msimamo Kundi H la Tanzania Kufuzu AFCON 2025,Msimamo wa Kundi H Kufuzu AFCON 2025, Timu ya Taifa ya Tanzania ipo Kundi H pamoja na timu za DR Congo, Guinea, na Ethiopia kuwania kufuzu AFCON 2025.

Tanzania kwenye Kundi hili ipo pamoja na mataifa matatu ambayo yanashikilia nafasi tofauti katika viwango vya soka vya Dunia vya FIFA.

Kwa upande wa DR Congo wao katika nafasi ya 60, Guinea ipo kwenye nafasi ya 77, Tanzania yenyewe nafasi ya 113, huku Ethiopia ikiwa nafasi ya 143.

Hapa chini tumekuwekea Msimamo wa Kundi H la Tanzania Kufuzu AFCON 2025 hadi leo tarehe 10 October 2024.

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA