MATOKEO SIMBA VS JKT TANZANIA 07 SEPTEMBER 2024

MATOKEO SIMBA VS JKT TANZANIA 07 SEPTEMBER 2024

Klabu ya Simba imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa kirafiki kati ya uliopigwa uwanja wa KMC Complex leo Jumamosi 07 September 2024.

MATOKEO SIMBA VS JKT TANZANIA 07 SEPTEMBER 2024

Mabao ya Jean Charles Ahoua na Saleh Karabaka yametosha kuihakikishia Simba ushindi huo ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo wa kuwania kutinga hatua ya makundi kombe la Shirikisho (CAF CC) dhidi ya Al Ahly Tripoli.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kati ya September 14 na 15.
Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA