MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI WA MAHOJIANO CHUO KIKUU CHA MJNUAT

MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI WA MAHOJIANO CHUO KIKUU CHA MJNUAT
MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI WA MAHOJIANO CHUO KIKUU CHA MJNUAT

Mabadiliko ya tarehe ya Usaili wa Mahojiano kwa Kada sita (6) Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) 

Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya tarehe ya kufanya usaili wa 
mahojiano kwa kada sita (6) zilizokuwa zimepangwa siku ya Jumatatu tarehe 16 
Septemba, 2024 kama ilivyoonyeshwa kwenye tangazo la awali la kuitwa kwenye usaili lenye Kumb. Na. CBA.309/353/01/053.

Kufuatia mabadiliko hayo, ratiba mpya ya usaili wa mahojiano kwa kada zilizokuwa zimepangwa tarehe tajwa hapo juu utakuwa kama ulivyoainishwa hapo chini:

Kada
  • Tutorial Assistant – Curriculum & Teaching, Tutorial Assistant – Philosophy of Education, Tutorial Assistant – Civil Engineering.
Tarehe ya awali
  •  16/09/2024
Tarehe Mpya ya 
Usaili
  • 17/09/2024
Kada
Tutorial Assistant – Computer Engineering,
Tutorial Assistant – Business Administration (Marketing), Assistant Lecturer - Economics.

Tarehe ya awali
16/09/2024

Tarehe Mpya ya 
Usaili
18/09/2024

Usaili wa Mahojiano kwa kada nyingine utabaki kama ulivyokuwa kwenye tangazo la awali. 

Muda wa usaili pamoja na maelekezo mengine yatabaki kama yalivyo kwenye tangazo la awali la kuitwa kwenye usaili. 

Kwa taarifa zaidi tembelea www.ajira.go.tz au

Tangazo hili limetolewa na 
Makamu Mkuu wa Chuo
Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia
14/09/2024.
Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA