MABADILIKO YA ENEO LA USAILI WA MAHOJIANO KADA ZA AFYA BABATI

MABADILIKO YA ENEO LA USAILI WA MAHOJIANO KADA ZA AFYA BABATI

MABADILIKO YA MAHALI PA KUFANYIA USAILI WA MAHOJIANO KADA ZA AFYA BABATI- MANYARA (MDAs & LGAs)

Wasailiwa wote wa Kada za Afya (MDAs & LGAs) walioombea kazi kwa Mkoa wa Manyara mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya mahali pa kufanyia usaili wa Mahojiano.

Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)

Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)

Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao

Post a Comment

Previous Post Next Post

JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA WHATSAPP BOFYA HAPA