JINSI YA KUPATA NAMBA YA NIDA KWA SMS

JINSI YA KUPATA NAMBA YA NIDA KWA SMS
JINSI YA KUPATA NAMBA YA NIDA KWA SMS

Kupitia Makala hii  utaweza kufahamu njia ya kupata Namba yako ya NIDA kwa njia ya SMS bila malipo yoyote, Kupata Namba ya Utambulisho wa Taifa (NIN) ni rahisi zaidi kwa kutuma SMS kwenye simu yako ya Mkononi.

Fuata hatua hizi chache kwa kutuma SMS kwenda 15096 na upate namba yako ya utambulisho wa Taifa bure.

Huduma hii ni ya haraka na rahisi kwani inapatikana kwa watumiaji wote wa simu za mkononi nchini.

Hizi hapa ni hatua za kufuata ili kupata Namba yako yabNIDA kwa njia ya SMS

  • Andika jina lako la kwanza weka* jina lako la mwisho weka* tarehe mwezi na mwaka wa kuzaliwa weka* jina Kwa kwanza la Mama* na jina la mwisho la Mama.
  • Mfano: Juma*Mgeta*12031993*Asha*Mdoe
  • Taarifa ziwe sahihi kama ulivyojaza kwenye fomu ya usajili wa NIDA.
  • Tuma kwenye 15096
  • Utapokea ujumbe wenye namba yako ya NIDA bila kutozwa gharama yoyote. Huduma hii ni bure na inapatikana kwa mitandao yote ya simu.

Njia nyingine ya kupata namba yako ya NIDA ni kutumia USSD.

  1. Piga 15200# kwenye simu yako ya mkononi.
  2. Chagua namba 3 kwa “Ajira na Utambuzi.”
  3. Chagua namba 2 kwa “NIDA.”
  4. Ingiza majina yako matatu (mfano: Dan John Sele).
  5. Weka namba ya simu uliyojaza wakati wa kuomba kitambulisho.
  6. Thibitisha ombi lako.
  7. Utapokea SMS yenye namba yako ya NIDA.
Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA