JINSI YA KUOMBA AJIRA KUPITIA AJIRA PORTAL (PSRS)

JINSI YA KUOMBA AJIRA KUPITIA AJIRA PORTAL PSRS
JINSI YA KUOMBA AJIRA KUPITIA AJIRA PORTAL PSRS

Mfumo wa ajira wa serikali unapokea maombi mbalimblai kila siku kwa nafasi zinazotangazwa na sekretarieti ya ajira UTUMISHI na Utawala Bora.

Katika Makala hii hili utajifunza Jinsi ya Kujisajili Katika Tovuti ya Ajira Tanzania portal.ajira.go.tz Kusajili Tovuti ya Kuajiri Watumishi Mbalimbali nchini Tanzania, Ajira na Jinsi ya Kujisajili katika Mfumo Wa Ajira Tanzania.

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) ni chombo cha serikali chenye hadhi ya Idara inayojitegemea iliyoanzishwa mahususi kuwezesha mchakato wa kuajiri watumishi katika Utumishi wa Umma.

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilianzishwa kwa Sheria ya Utumishi wa Umma namba 8 0f 2002 iliyorekebishwa na Sheria Na.

Ajira Portal ni mfumo ulioanzishwa na Serikali kwaajili ya kuchakata kwa urahisi Utangazaji na kuajiri watu katika Utumishi Wa Umma.

Zifuatazo ni hatua Kwa hatua/ hatua za kufuata ili kujisajili katika Ajira Portal (UTUMISHI).Kujisajili na Ajira portal tafadhali bonyeza hapa na fuata hatua zote.

Aidha unaweza kutazama matangazo na kuomba ajira zinazotangazwa na sekretarieti husika Kwa kufuata hatua zifuatazo;

 
Chagua Tangazo la ajira unayotaka kuomba kisha bonyeza Login to Apply iliyoko kulia au chini ya tangazo.
Kama una-account (umejisajili) Ingiza Email na Password yako kutuma maombi.
 

JINSI ya Kuomba Ajira Kupitia Ajira Portal UTUMISHI

 
Ikiwa huna account, hujawahi kujisajili Bonyeza "REGISTER"
 
Jaza taarifa zako vema (Email ambayo unakumbuka password yake), Jaza Password (neno la siri utakalokumbuka kwa urahisi lakini lisiloweza kufikirika kwa urahisi na mtu mwingine)
Utapata Ujumbe ufuatao hapa chini

Registration Success

You have successfully registered with Recruitment Portal. An email has been sent to you with instructions on how to activate your account.

Please check your email and follow the instructions in order to start using your account.

Thanks"

Ingia kwenye email yako kishwa fuata maelekezo yaliyotumwa huko

Baada ya hayo Bonyeza Login to Apply.

Aidha Waombaji wa fursa za Ajira mnatakiwa kuhuisha (Update) taarifa zenu kwa kutumia namba ya utambulisho wa Taifa (NIN), kwenye eneo ya Personal Details.

Mnatakiwa kuhuisha taarifa kwenye eneo la Academic Qualification kwa kuweka kozi yako kwenye Category husika.

Ili kuona ‘STATUS’ ya maombi yako ya kazi, ingia sehemu ya ‘MY APPLICATION’ baada ya ku-‘login’ katika akaunti yako.

Sehemu hii itakuwezesha kuona namba ya usaili kwa wale waliofanikiwa na sababu ya kutokuitwa kwa wale ambao hawajafanikiwa.

AJIRA MPYA KILA SIKU TAFADHALI BONYEZA HAPA
Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA