JINSI YA KUJISAJILI NA KUTUMA MAOMBI AJIRA ZA WALIMU

JINSI YA KUJISAJILI NA KUTUMA MAOMBI AJIRA ZA WALIMU
JINSI YA KUJISAJILI NA KUTUMA MAOMBI AJIRA ZA WALIMU

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa ametangaza nafasi mpya za Ajira za Walimu 2024.

Katibu huyo amekaribisha Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi hizo kama ilivyoainishwa katika
tangazo hili.NAFASI ZA KAZI ZA WALIMU MDAs & LGAs (PSRS)

Kutokana na Tangazo hilo la Ajira za Walimu 2024, huu hapa ni mwongozo wa Jinsi ya Kujisajili na Kutuma Maombi Ajira Za Walimu UTUMISHI Kupitia Ajira Portal 2024.

  • Kujisajili - Kama hauna akaunti unataka kujisajili katika mfumo wa Ajiraportal  Jisajili hapa.
  • Kufungua akaunti: Jinsi ya kufungua akaunti ya Ajiraportal Kufungua akaunti bonyeza aapa.
  • Kutumia Ajira Portal au kuomba Kazi katika sekta ya UTUMISHI
  • Nenda https://porta.ajira.go.tz ili kupata tovuti rasmi ya Ajiraportl.
  • Ili kutengeneza akaunti kwenye Ajira Portal, bofya kiungo.
  • Kwenye ukurasa wa kujisajili, ingiza kwa usahihi maelezo yako ya kibinafsi.
  • Jaza kwa usahihi fomu ya Ajira Portal na taarifa zote.
  • Pakia vyeti vyovyote muhimu, ukubwa wa pasipoti na hati zote.
  • Hakikisha umejaza vizuri sehemu zote zinazohitajika katika taarifa iliyotolewa.
  • Tuma programu na uhifadhi nakala kwa rekodi zako.
  • Ili kuhakikisha mchakato wa maombi umefanikiwa, waombaji wanapaswa kuzingatia maagizo yaliyotolewa na Ajira Portal kuhusu usajili, usahihi wa taarifa zao za kibinafsi, uwasilishaji wa hati, na uwasilishaji wa maombi yao.
JINSI ya Kujisajili na Kutuma Maombi Ajira za Walimu 2024,Mfumo Mpya wa Maombi Ajira za Walimu,Online Teachers Application System 2024/2025, UTUMISHI Job Teacher 2024/25,Register to the Online Teachers Application UTUMISHI, Jinsi ya Kutuma Maombi Ajira Za Walimu Utumishi Ajira Portal 2024.Jaza taarifa zote muhimu kwa kuzingatia mpangilio huu:
  • Chagua ngazi yako ya Elimu
  •  Chagua nchi uliyosomaChagua fani sahihi kulingana na taaluma yako ili uweze jina sahihi la fani yako uliyohitimu.
  • Chagua fani uliyofuzu na inatakiwa jina lake lifanane na kilichoandikwa kwenye cheti chako cha kuhitimu ambacho unataka kukiambatisha kwenye mfumo, endapo hujapata jina linaloendana na kozi uliyomaliza huenda umechagua sehemu isiyo sahihi na taaluma yako, hivyo tafuta sehemu nyingine kwa kutumia jina la fani uliyofuzu kama ilivyoandikwa kwenye cheti chako.
  • Chagua au jaza jina la chuo na kama chuo ulichosoma hakipo andika jina kamili kwa kirefu, usitumie vifupisho havikubaliki.
  • Onyesha ulianza lini na ulihitimu lini.
  • Ambatisha nakala ya cheti kilichothibitishwa na mwanasheria na hakikisha cheti chako unachokiweka hakizidi 2MB.
  • Bonyeza sehemu ya hifadhi (save) ili taarifa na nyaraka zako ziweze kuhuishwa na kuhifadhiwa kwenye mfumo.

Aidha Waombaji wa fursa za Ajira mnatakiwa kuhuisha (Update) taarifa zenu kwa kutumia namba ya utambulisho wa Taifa (NIN), kwenye eneo ya Personal Details, aidha mnatakiwa kuhuisha taarifa kwenye eneo la Academic Qualification kwa kuweka kozi yako kwenye Category husika.

Ili kuona ‘STATUS’ ya maombi yako ya kazi, ingia sehemu ya ‘MY APPLICATION’ baada ya ku-‘login’ katika akaunti yako.

Sehemu hii itakuwezesha kuona namba ya usaili kwa wale waliofanikiwa na sababu ya kutokuitwa kwa wale ambao hawajafanikiwa.

Mwongozo: Ajira Mpya za Walimu 2024, Mfumo wa Maombi ya Ajira za Walimu 2024, Mfumo wa Maombi ya Ajira za Walimu 2024 Kupitia UTUMISHI Ajiraportal.

  • Unatakiwa kuingiza cheti kimoja kimoja katika mfumo bila ya kuvijumuisha eneo moja. (PDF)
  • Wakati wa kuingiza taarifa za elimu ya sekondari kidato cha nne na sita hakikisha unaingiza namba sahihi (index number) iliyoko kwenye cheti cha kuhitimu.
  • Endapo umesoma nje ya Tanzania unatakiwa kuweka barua ya uthibitisho kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kwa Elimu ya Sekondari na kwa Elimu ya Astashahada, Stashahada uweke barua kutoka Mamlaka ya Elimu (NECTA) kwa waliomaliza Shahada nje ya nchi waweke nakala ya cheti cha Tume ya Vyuo Vikuu (TCU).
  • Hakikisha umeingiza namba yako ya mtihani inayofahamika kama (index number) ukiainisha mwaka uliohitimu kwa usahihi na kisha bonyeza sehmu ya kuwasilisha maombi iliyoandikwa (submit).
  • Baada ya kuwasilisha maombi, mfumo utaleta taarifa zako kutoka Baraza Mitihani na endapo utajiridhisha kuwa taarifa hizo ni sahihi, utathibitisha taarifa hizo kwa kubonyeza yehemu imeandikwa thibitisha na kuhifadhi (confirm and save).

Aidha taarifa ya kila hatua ya usaili mrejesho utaiona katika eneo hilo na endapo utafaulu na kupangiwa kituo cha kazi, taarifa hizo zitaonekana katika eneo hilo.

Pia, ukifungua eneo hilo na usione taarifa yoyote, tambua kuwa hujaomba kazi na unapaswa kuhakikisha taarifa zako zimejazwa vizuri na kurudia zoezi la kuomba kazi.

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA