JINSI YA KUANGALIA SALIO NSSF

JINSI YA KUANGALIA SALIO NSSF
JINSI YA KUANGALIA SALIO NSSF

Kwa kutumia programu ya NSSF Taarifa - Mobile App utapata taarifa za michango, salio na huduma mbalimbali.

Jinsi ya Kutumia ya Kutumia NSSF Taarifa - Mobile App kuangalia Salio na huduma nyingine Mbalimbali.

  1. Downward NSSF Taarifa kutoka "Google Play Store.
  2. Weka Membership I'd number iliyopo kwenye kadi yako ya NSSF.
  3. Kisha Utajaza taarifa zako Kujisajili.
  4. Login kwa kutumia email yako na passowrd utayotengeneza.
  5. Bofya sehemu imeandikwa Statements utaona michango iliyowasilishwa kwenye Shirika hilo.

Njia nyingine ni NSSF Taarifa - WhatsApp

Jinsi ya Kutumia Ili kupata taarifa za michango yako.

  1. Save namba maalum hii 0756140140 kwenye simu.
  2. Fungua WhatsApp kisha tuma ujumbe wa salamu "Hello" au "Habari"
  3. Utapokea ujumbe wenye maelekezo ya jinsi ya kutumia huduma hii.
  4. Andika neno "Statement" kupata taarifa ya michango yote iliyowasilishwa, au tuma neno "Balance" kupata ujumbe wenye salio la michango iliyowasilishwa.

Njia nyingine ni NSSF Taarifa - SMS

Jinsi ya Kutumia Ili kupata taarifa za michango yako

  1. Ingia ingia sehemu ya Ujumbe Mfupi (SMS) kisha tuma ujumbe kwenda namba 15200 kupata huduma zifuatazo:
  2. Kwa Salio/Balance ya michango tuma ujumbe wa;
  3. NSSF SALIO (Namba ya Mwanachama) (Mwaka) AuN
  4. SSF BALANCE (Member Number) (Year)
Kwa Taarifa/Statement ya michango tuma ujumbe
  1. NSSF TAARIFA (Namba ya Mwanachama) (Mwaka) Au
  2. NSSF STATEMENT (Member Number) (Year)

MFUMO WA ‘MEMBER PORTAL’

Kupitia Mfumo huu ambao unapatikana katika tovuti ya Shirika yaani www.nssf.go.tz utaweza:

  • Kuangalia taarifa za michango yote iliyowasilishwa na Mwajiri wako katika Shirika au michango iliyowasilishwa na mwanachama kwa wanachama wa hiari.
  • Kupata taarifa za michango (Statements).
  • Ili upate kuona taarifa zako unatakiwa kuwa namba ya simu ambayo uliisajili NSSF endapo ulibadilisha au haukuiweka tunaomba ufike katika ofisi ya NSSF iliyopo jirani yako ili kuweza kuboresha Taarifa zako na kuendelea kufurahia huduma.
MASWALI NA MANIBU ZAIDI KUTOKA NSSF BOFYA HAPA

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA