JINSI ya Kuangalia Kama umeitwa kwenye Usaili Ajira Portal

JINSI ya Kuangalia Kama umeitwa kwenye Usaili Ajira Portal

Katika Makala hii utaweza kufahamu kama umechaguliwa au hujachaguliwa kwenye usaili ikiwa umetuma maombi ya Ajira kupitia tovuti ya ajira.

Kwa kufuata hatua zifuatazo utaweza kuona hali ya ombi lako

  • Ingia kwenye akaunti yako kupitia link hii portal.ajira.go.tz
  • Ingiza barua pepe (email) yako kama jina la mtumiaji na Password yako.
  • Bofya menyu ya MAOMBI YANGU.
  • Utaona orodha yote ya programu yako pamoja na taarifa yake.
  • Ukichagua utaona neno Orodha fupi.
  • Ikiwa haujachaguliwa utaona neno haijaorodheshwa na sababu za kwanini.

Taarifa zaidi tazama picha hapa chini

JINSI ya Kuangalia Kama umeitwa kwenye Usaili Ajira Portal UTUMISHI JINSI ya Kuangalia Kama umeitwa kwenye Usaili Ajira Portal UTUMISHI

Ikiwa umeitwa au haijaitwa Utona taarifa kama unavyoona hapa chini;

JINSI ya Kuangalia Kama umeitwa kwenye Usaili Ajira Portal UTUMISHI JINSI ya Kuangalia Kama umeitwa kwenye Usaili Ajira Portal UTUMISHI[

Kwa waombaji waliochaguliwa utaona namba ya mtihani wa Usaili lakini pia utaona ratiba ya usaili na eneo la usaili utakapofanyika.

Waombaji wa fursa za Ajira mnatakiwa kuhuisha (Update) taarifa zenu kwa kutumia namba ya utambulisho wa Taifa (NIN), kwenye eneo ya Personal Details, aidha mnatakiwa kuhuisha taarifa kwenye eneo la Academic Qualification kwa kuweka kozi yako kwenye Category husika.

Ili kuona ‘STATUS’ ya maombi yako ya kazi, ingia sehemu ya ‘MY APPLICATION’ baada ya ku-‘login’ katika akaunti yako. Sehemu hii itakuwezesha kuona namba ya usaili kwa wale waliofanikiwa na sababu ya kutokuitwa kwa wale ambao hawajafanikiwa.

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA