INEC Walioitwa kwenye Usaili Singida Municipal Council

INEC Walioitwa kwenye Usaili Singida Municipal Council

Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Singida Mjini kwa kuzingatia Kanuni ya 12 ya Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura za mwaka 2024, anawatangazia wafuatao kuwa wameitwa kwenye usaili wa nafasi za Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Biometriki (BVR) kwaajili ya zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura.

Aidha, Usaili huo utafanyika kuanzia tarehe 05-06 Septemba, 2024 katika Kumbi mbili tofauti (Ukumbi wa Mwenge Sekondari na Ukumbi wa Manispaa) Kila Msailiwa akumbuke yafuatayo;

  • Kuja na vyeti vyake halisi vilivyotumika kwenye maombi ya kazi
  • Kuja na Kitambulisho chenye picha (passport size)
  • Msailiwa atajigharamia kwa chakula na malazi.
  • Msailiwa akumbuke tarehe na Ukumbi aliopangiwa kufanyia Usaili.
  • Usaili utaanza saa mbili kamili asubuhi.

Orodha ya majina ya wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili ikionesha tarehe na ukumbi aliopangiwa kila mwombaji msailiwa imeambatanishwa kwenye PDF hapa chini;

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Post a Comment (0)
Previous Post Next Post

PATA NYIMBO ZOTE MPYA BONYEZA HAPA

 

MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI KUPITIA nijuzehabariblog@gmail.com

 

JIUNGE NA GROUP ZETU HAPA CHINI UPATE FURSA KAMA HIZI KILA SIKU.

 

GROUP LA WHATSAPP NO 1 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 2 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 3 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 4 BOFYA HAPA

 

GROUP LA WHATSAPP NO 5 BOFYA HAPA